Tujikumbushe mastaa wa Bongo ambao hawapikiki chungu kimoja

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mimi naanza na Jide na Mwana FA!

Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!

Unaweza ukaendelea na orodha hii...
 
Juma nature, inspector haroon. Dudu bays, Mr. Nice , t.o.t, twanga pepeta.
 
Ni vile tu haupo update, hao uliowataja wameshamaliza tofauti zao
 
Uongo Huu Juzi Hapa Wamepeform Pamoja Mlimani. Kama Bifu Limeanza Leo Sikubishii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…