Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Uzi wa kutaja watu maarufu hapa Tanzania ambao aidha wanashabikia Simba au Yanga tena wengine wanaficha ushabiki wao juu ya vilabu hivi viwili vya Simba na Yanga.
J.K. Nyerere - Yanga
Ben Mkapa - Yanga
J.M. Kikwete - Yanga
Maulid Kitenge - Yanga wa kutupwa
Shaffih Dauda - Simba
Edo Kumwembe - Yanga
Ali Kiba - Yanga
Diamond - Simba
Endelea na wewe...
J.K. Nyerere - Yanga
Ben Mkapa - Yanga
J.M. Kikwete - Yanga
Maulid Kitenge - Yanga wa kutupwa
Shaffih Dauda - Simba
Edo Kumwembe - Yanga
Ali Kiba - Yanga
Diamond - Simba
Endelea na wewe...