Tujikumbushe Mastaa wa Bongo na Ushabiki wao wa Simba na Yanga

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Uzi wa kutaja watu maarufu hapa Tanzania ambao aidha wanashabikia Simba au Yanga tena wengine wanaficha ushabiki wao juu ya vilabu hivi viwili vya Simba na Yanga.

J.K. Nyerere - Yanga
Ben Mkapa - Yanga
J.M. Kikwete - Yanga
Maulid Kitenge - Yanga wa kutupwa
Shaffih Dauda - Simba
Edo Kumwembe - Yanga
Ali Kiba - Yanga
Diamond - Simba

Endelea na wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…