Tujikumbushe matukio ya kijinga tuliyofanya shuleni

Tujikumbushe matukio ya kijinga tuliyofanya shuleni

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,221
Mimi nakumbuka hapa niliwahi kupeleka mzazi feki shule halafu akanipiga kofi.[emoji23][emoji23]

Nilishapigana na Mwalimu tukigombania bint mmoja hivi cheupe wee alinimaindi mpaka namaliza shule[emoji1787][emoji1787]

Weka kituko chako hapa.
 
Nilikataa kuchapwa na mwalimu wa kike, nilimwambia mila haziruhusu. si unajua mtarime tena 😂 😂
akanipeleka kwa mwalimu mkuu, mwalimu mkuu akaamuru nilale chini nikachapwa na yuleyule teacher mwanamke.
 
Nilikataa kuchapwa na mwalimu wa kike, nilimwambia mila haziruhusu. si unajua mtarime tena [emoji23] [emoji23]
akanipeleka kwa mwalimu mkuu, mwalimu mkuu akaamuru nilale chini nikachapwa na yuleyule teacher mwanamke

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee unadumisha Mila
 
Back
Top Bottom