Tujikumbushe mawaziri wazamani

Joined
May 7, 2012
Posts
18
Reaction score
4
Hivi wale wenzangu na mimi mnawakumbuka hawa?
1.Waziri wa Fedha Amiri Jamal
2.Waziri wa Afya Aaron Chiduo
3.Waziri wa Sheria Julie Marning
4.Waziri wa maji na nishati Al noor Kassum
5.Waziri wa Ujenzi Samwel J Sitta
6.Waziri wa Kazi Alfred Tandau
7.Waziri wa Elimu Thabitha Siwale
8.Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Benjamin Mkapa
9.Waziri wa Sheria na Mwanaheria mkuu wa Serikali Joseph Sinde Warioba.
10.Waziri wa Kilimo Joseph Mungai
.
.
.........mwenye kuwakumbuka zaidi aongezee jamani.
 
Kabeho,Alnoor kasum,Khan,Pius N'gwandu,Jackson
Mwaketa,Mrema .Fatma Said Ali,kikwete,Austin Shaba ( not sure) ,Makinda
 
Gidion Cheyo-Ardhi na makazi
Kingunge-Muungano
Ninkas Mahinda----
Bakari Bonde-JW&JKT
Kibona-Fedha
Mramba-fedha
Mstafaa nyang'anyi---------
Abdalah kigoda
Juma ngasongwa
Kuwanyawaya Steven kuwanyawaya?????????????????? Jina tu hilo.


 

Umechanganya mawaziri kutoka serikali tofauti. Kwa mfano, Mkapa alipokuwa waziri wa mambo ya nchi za nje, Jullie Manning hakuwa waziri.
 
c Kisanji, munanka,p. bomani,h.kolimba,f.kazaura,seba kinyondo(mitemba)
 
 
 
Amran Mayagila waziri wa elimu na mbunge wa jimbo la Iringa
 
Wadau hivi ni mwaka gani Kikwete aliwahi kuwa waziri wa fedha
 
'mmemsahau waziri wa tembo na zile nanihiii ndugu kinanasi kidogo dogo...'
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…