johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM ndio Tanu na ASPCCM watoe vitega uchumi vyote vinavyomilikiwa kabla ya CCM kuzaliwa vilivyobaki ndio stahili yao
Pia CHADEMA, TLP na NCCR waache harakati, wakiwa wanawaza kushika dola pia vitega uchumi wahakikishe wanakua navyo
Ila kabla ya ccm wazazi wetu hawakua na alternative ya chama zaidi ya TANU. Means hata viwanja walichangiaCCM ndio Tanu na ASP
Alaa, kumbe hivyo vitega uchumi vilijengwa na TANU na ASP wakati vikiwa kwenye mfumo wa vyama vingi!CCM ndio Tanu na ASP
Kama unaipenda Miradi rudi CCMIla kabla ya ccm wazazi wetu hawakua na alternative ya chama zaidi ya TANU. Means hata viwanja walichangia
Huoni imefika wasaa hivyo viwanja viwe vya umma kwa maana kila mmoja alichangia hata kama hakua na chama
BaadhiAlaa, kumbe hivyo vitega uchumi vilijengwa na TANU na ASP wakati vikiwa kwenye mfumo wa vyama vingi!
Pole, nadhani wameongeza tozo kwenye buku saba zenu. Kuweweseka kumeongezeka sana.Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa
Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk
Shule mbalimbali ikiwemo Kaole na Mwembetogwa
Shamba la mfano Ihemi Iringa
Chuo cha Siasa Kivukoni
Kituo cha television Channel ten nk...nk
CCM ni Chama Cha Maendeleo na Demokrasia ya kweli siyo ya Mchongo kama ile ya Ufipa st
Mungu wa mbinguni awabariki wote!
Wameongeza sifuri mbiliPole, nadhani wameongeza tozo kwenye buku saba zenu. Kuweweseka kumeongezeka sana.
Viwanja ulivyovitaja vilikuwa vya serikali hata kabla ya Tanu kuanzishwa na viliboreshwa wakati wa mizunguko ya sherehe za Sabasaba mikoani, vyama vingi vilipoanza CCM walitaka kuuchukua uwanja wa taifa ila mambo hayakuenda sawa, nakumbuka na ile ndege ya rais Foker 27 waliyoibatiza CCM 1 nayo waliichukua ila iliwashinda gharama za maegesho na kuiendesha hivyo wakairudisha serikalini, kwa Tanzania mwizi tajiri husifiwa.Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa
Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk
Shule mbalimbali ikiwemo Kaole na Mwembetogwa
Shamba la mfano Ihemi Iringa
Chuo cha Siasa Kivukoni
Kituo cha television Channel ten nk...nk
CCM ni Chama Cha Maendeleo na Demokrasia ya kweli siyo ya Mchongo kama ile ya Ufipa st
Mungu wa mbinguni awabariki wote!
Unajua uwanja wa CCM KirumbaViwanja ulivyovitaja vilikuwa vya serikali hata kabla ya Tanu kuanzishwa na viliboreshwa wakati wa mizunguko ya sherehe za Sabasaba mikoani, vyama vingi vilipoanza CCM walitaka kuuchukua uwanja wa taifa ila mambo hayakuenda sawa, nakumbuka na ile ndege ya rais Foker 27 waliyoibatiza CCM 1 nayo waliichukua ila iliwashinda gharama za maegesho na kuiendesha hivyo wakairudisha serikalini, kwa Tanzania mwizi tajiri husifiwa.
π π πKama unaipenda Miradi rudi CCM
Kwa sababu umenipa mfano wa Uwanja wa 7 7 Iringa ambao naufahamu sana na nimecheza sana Disco pale Soweto DJ akiwa Felician sitakubishiaCCM ni ma TP tu ,chikulia Ile uwanja wa maonyesho ya SABASABA Iringa Yale majengo yalijengwa na mashirika ya umma na makampuni ya kibiashara Kwa mfano unavyoingia geti la kutoke Highland liliKuwa la kanisa katoliki,idara ya maji,vaculug,RTC (Soweto),gapex,wizara ya kilimo na mifugo,magereza tanesco,Sido nk nk,Leo tunaambiwa CCM Iringa vijijini ndio wamiliki wa majengo Yale ,CCM hii hata hii miradi ya Sasa mnayotumia FORCE ACCOUNT mtakuja kuvidhulumu vitoto vyetu kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa marehemu J P Magufuli alijenga, na akarithisha uemyekiti wa CCM taifa Mama SSH yeye ametoa Hela za ujenzi miradi ya kimkakati
Ile ukumbi wa DiSCO wa SOWETO ulichangamsha Sana IringaKwa sababu umenipa mfano wa Uwanja wa 7 7 Iringa ambao naufahamu sana na nimecheza sana Disco pale Soweto DJ akiwa Felician sitakubishia
Ila usisahau geti la kutokea kule barabara Kuu kuna Ofisi za CCM tokea Uwanja unajengwa
Sana tu bwashee!Ile ukumbi wa DiSCO wa SOWETO ulichangamsha Sana Iringa
CCM haikuwahi kuwa na miradi yake yenyewe labda ule wa SUKITA ambao nadhani ulishakufa na Bendi ya Umoja wa vijana. Hayo majengo mashule na viwanja ilikuwa ni mchango ya wanachi wote chini ya chama kimoja. Baada ya kuwepo vyama vingi ilitakiwa mali hizo zilzopatikana kwa nguvu ya umma zipelekwa serikalini, lakini wao wakahodhi. Kwa mfano uwanja wa Kirumba haukujengwa kuwa uwe wa CCM bali ulikuwa uwe wa jiji la mwanza katika kuandaa sherehe za kuzaliwa Azimio na CCM. Lakini wao wakaufanya kuwa ni wa CCM.Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa
Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk
Shule mbalimbali ikiwemo Kaole na Mwembetogwa
Shamba la mfano Ihemi Iringa
Chuo cha Siasa Kivukoni
Kituo cha television Channel ten nk...nk
CCM ni Chama Cha Maendeleo na Demokrasia ya kweli siyo ya Mchongo kama ile ya Ufipa st
Mungu wa mbinguni awabariki wote!
Maelezo yako mwishoni yanathibitisha Kirumba ni mali ya CCMCCM haikuwahi kuwa na miradi yake yenyewe labda ule wa SUKITA ambao nadhani ulishakufa na Bendi ya Umoja wa vijana. Hayo majengo mashule na viwanja ilikuwa ni mchango ya wanachi wote chini ya chama kimoja. Baada ya kuwepo vyama vingi ilitakiwa mali hizo zilzopatikana kwa nguvu ya umma zipelekwa serikalini, lakini wao wakahodhi. Kwa mfano uwanja wa Kirumba haukujengwa kuwa uwe wa CCM bali ulikuwa uwe wa jiji la mwanza katika kuandaa sherehe za kuzaliwa Azimio na CCM. Lakini wao wakaufanya kuwa ni wa CCM.