Hapa naamini sitopata mtu hata mmoja.Nikimpata naamini mvua ya mawe inaweza kunyesha hapa JF.
Haya Tuanze na Mazengo,Pima,Meeen,Gaguti,Soap,Mugube,kusenha na Mtaalamu wa kilimo Prosefor Mwasamila na Dr Mama Kipangula.Msimusahau BB aka Babiligi wa fomu wani weyi.
Changanya humo na Bihawana, Don Bosco na Msalato.
Mama kwa kweli kama ukisikia watu tulikuwa tumetumwa na kijiji hapa ndo ushahidi.Wewe fikiria hadi sasa product ya Mpwapwa niko peke yangu.Yaani kweli kazi ipo.Kuna kijamaa kimoja kiko pale UDSM kina masters ya Computer Science au kimemaliza PHD sasa kiko Smart Card,si kijitokeze jamani tukumbushiane hapa????wewe Bakuza,Ntemi,Kayanda,Omvyei,Matonya mko wapi????najua mko nchi za magharibi.nyie ngoja tu mkae kimya.
Hapa naamini sitopata mtu hata mmoja.Nikimpata naamini mvua ya mawe inaweza kunyesha hapa JF.
Haya Tuanze na Mazengo,Pima,Meeen,Gaguti,Soap,Mugube,kusenha na Mtaalamu wa kilimo Prosefor Mwasamila na Dr Mama Kipangula.Msimusahau BB aka Babiligi wa fomu wani weyi.
Mpwapwa ni secondary?! Sounds like a swamp full of infectious worms!
Hahaaaaaaa, Unachekesha.
Wengine tulisoma day, mambo ya maini[maharage] kama majina ya shuleni hatuyajui.
Labda utuulize kugombana na makonda.
Tulizoea kwenda nakurudi nyumbani, kama mama kapika kauzu,dagaa bichi ndio hiohio
Kesho yake mchicha, keshokutwa bamia, siku nyingine kisamvu.
Mwisho wa mwezi nyama kwa wingi.
kugombana na makonda Mpwapwa??Kaazi kwelikweli
Weraaaaa............. Naona kama umemsahau Peter Naali aka Top. Huyu mkuu wa shule sijawahi kuona.mdau uliyeleta maada umenikumbusha mbali kweli? hasa hao walimu akina Pima, Mwasamila na yule mke wake na Pima alikuwa akituletea EMO.
Mimi nimekata shule pale A-level 2000-2002 pia kulikuwa na mwalimu Shayo, mama Mkonyi bila kumsahau kijana mmoja hatari akijulikana kwa jina la Bingwa.