Anataka SGR ianze kazi mwezi july sijui treni zitatumia umeme gani ujue nilishangaa sana, kama hizi megawati hazitutoshi tukizipereka huko kwenye SGR itakuwaje? Unamegawati chache umeme hautoshi, unatangaza july treni za umeme zianze kazi, unajua unatatizo la upungufu wa umeme, unajua huna chanzo kingine cha umeme, unajua treni za umeme haziwezi kuanza kazi, umetangaza zitaanza kazi, unajua kinachofuata hapo?