Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Hahahahaha....kama nakuona mkuu, ulivyojifaragua baada ya kuambiwa hivyo.Naingia benki mara ya kwanza baada ya kufungua mlango na kuingia naona mlango unarudi wenyewe sasa nikaogopa usije kujibamiza kwasababu ni wa kioo nkaushika na kuuanza kuupeleka taratibu .
Mlinzi ndo akanambia hauna shida we achia tu
Zile si unaingia kwenye box moja then unatulia tu inapanda??Escalator/Ngazi inayotembea.
Mpaka sasa mimi na huyo jamaa ni maadui wa kudumu, sijawahi kumzoea na sitaki kumzoea.
siku ya kwanza nilishikiliwa kama vile mbuzi akiwa hataki kwenda anavyovutwa aisee ilikua hatari.
Aaah saa ngapi nisizuge napigiwa simu na mshua nakutokomea tawi jingineHahahahaha....kama nakuona mkuu, ulivyojifaragua baada ya kuambiwa hivyo.
Hahahaha...haya matukio huya yanaacha kumbukumbu za kupendeza sana japo kuna baadhi yanaweza kufanya ujisikie vibaya siku zote...Aaah saa ngapi nisizuge napigiwa simu na mshua nakutokomea tawi jingine
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lol.Escalator/Ngazi inayotembea.
Mpaka sasa mimi na huyo jamaa ni maadui wa kudumu, sijawahi kumzoea na sitaki kumzoea.
siku ya kwanza nilishikiliwa kama vile mbuzi akiwa hataki kwenda anavyovutwa aisee ilikua hatari.
Teh!kilichonitoa mimi ushamba nitakuambia pmMie kilichowahi nitoa ushamba nilinunua blenda ya kusagia matunda / viungo sasa imefika siku nataka kuanza kuitumia kwa kusaga viungo vya chai nikaifunga ile blenda kumbe haiwezi kusaga mpaka ukaze mara tatu ambapo ile ya tatu unatumia nguvu kidogo ili ipate kuwaka. Basi huwezi amini nikahangaika wee kumbe naishia sehemu ya pili kila nikiwasha inagoma si nikajua Mhindi kanipiga basi nikaibeba blenda kurudisha kwa Mhindi tena nina hasira hapo sababu niliinunua bei kidogo mpaka nafika ananielekeza namna ya kuifunga duuh niliona aibu sana aisee sababu duka lilikuwa limejaa wateja hapo lol.
Kutoka hapo nikabaki najicheka tu kwani nimetoka ushamba kwa kitu kidogo.
ile kitu inataka taiming kwenye kuweka mguu wa. kwanza.Mi kinachoniokoa kwenye vitu nisipovijua ni kupenda kujifunza kwa kupitia kuangalia wengine wanafanyaje.kisha nikashaona ndo namie nafanyaEscalator/Ngazi inayotembea.
Mpaka sasa mimi na huyo jamaa ni maadui wa kudumu, sijawahi kumzoea na sitaki kumzoea.
siku ya kwanza nilishikiliwa kama vile mbuzi akiwa hataki kwenda anavyovutwa aisee ilikua hatari.
Hii huchangia kuharibu gariMmh. Ushamba tena wakati ndio uendeshaji wao wa kila siku
Japokuwa huwa sibariki watu wanaoendesha gari Automatic kwa miguu miwili kwani wapo na hawana ushamba hata chembe.
mkuu ushamba wako uko kwenye kutype.unatumia herufi kubwa paragraph nzima hii kiundishi humaanisha unazungumza kwa kupayuka.HAKIKA NIMEPONYEKA JUU YA USHAMBA...LABDA SABABU HUWA SIPENDI KUJIFANYA MJUAJI....KTK JAMBO LAUGEN KWANGU HUWA NACHUKUA TAHADHAR MAPEMA AU KUJIWEKA NYUMANYUMA....UZUR KUSOMA NAKO TUNASAIDIKA JMN HUWA SIKURUPUKII JAMBO...YAN NIKIFIKA SEHEM HUSIKA HUWA NATULIA KWA KUZUGA NAWASOMA WENYEJ WANAFANYAJE....LABDA NIULIZE KWA HILI MSHAMBA NANI......NILITOKA SHOPPING NA MCHUMBA YY AKIWA NA MDOGO WAKE TOKA MORE TO DAR KKOO....MIMI NIMEZOE KKOO HUWA NASHUKIA ICHO KITUO CHA SIMBAZI THEN NAZURULA KILA NNAKOHISI NTAPATA HITAJIO LANGU....SASA NILIPO KUWA NA HAWA WAREMBO MWENDO KAS LILIPOFIKA HAPO NIKASHUKA NIKASHANGAA WAO HAWAJASHUKA KUWAANGAALIWA WANANIAMBIA BADO HATUJAFIKA(JAMANIIII) NIKARUD GARINI WAKAWA WANANISHANGAA JMN BADOOOO...TUKAENDA HAD MWISHO WA GAR KITUO KIKUBWA SIJUI YAN ICHO KITUO KIKWEL CJAWAH KUKIFIKA NDIO TUKASHUKA HAPO....SASA SIJUI NI SABABU YA KUWA SHOPPING NIYA NGUO SO KITUO KILE NDIO KIKO KARIBU....MIMI NIMEZOEA KUSHUKIA ICHO CHA MSIMBAZ COZ MAHITAJ YANGU HUWA NI BIDHAA ZA ELECTRONICS.....MPK LEO NAKUMBUKA SIJUI NDIO WALINIONA MSHAMBA...
Kuumbe au sijakuelewa Mkuu?Hii huchangia kuharibu gari
Kwa mujibu wa kitabu cha gari
HAHAHAA SAWA MKUU...WEWE SIO MSHAMBA MAANA UMEANDIKA KWA HERUFI NDOGO HATA BAADA YA KUWEKA NUKTA...KAMA HUJUI HAKUNA MAKOSA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA INSHA NZIMA ILA NI KOSA KUANZA KWA HERUFI NDOGO AU BAADA YA NUKTA....NANI MSHAMBA....HALAFU KUNA UZI WANGU UNAZUNGUMZIA TOFAUTI KATI YA MSHAMBA NA MJINGA....KASOME KISHA JITAFUTIOE NAFAS YAKO KATI YA MJINGA AU MSHAMBA.....mkuu ushamba wako uko kwenye kutype.unatumia herufi kubwa paragraph nzima hii kiundishi humaanisha unazungumza kwa kupayuka.
Ndio mkuu, washauri watumie mguu mmoja,mwingine ukae pembeniKuumbe au sijakuelewa Mkuu?
Nina watu wangu wa karibu Mtu na Mkewe sijui utawaambia kwa lugha gani wakuelewe maana wameshazowea wenyewe.
Ila akiendesha mmoja wapo huwa nakuwa na wasiwasi tu halafu sijuagi kwa nini?
Itakuwa hawasomagi hizo vitabu basi Mkuu.
Umenichekesha sana hapo kwenye quality centreNi vingi kweli kweli.
Kwanza TV.
Nyumbani imekuja TV nabonyeza tu button bila kuelewa nikajikuta nimeweka Lugha ya kichina. Nikaona hamna anayeniona nikazima nikajikausha, watu wamehangaika mpaka wakasoma manual wakairudisha.
LIFT/ ELEVATOR
Mara ya kwanza kupanda lift ilipoanza kuondoka nilihisi kichwa kama kinapata mgandamizo miguu inatetema nikajikuta nimejishikilia sehemu hivi ili nisianguke. Na sikujua namna ya kuioperate so nikashuka floor ya yule mtu kisha nikaendelea kupanda juu kwa ngazi.
NGAZI ZA QUALITY CENTRE/ ESCALATORS
Naweka mguu bado kidogo nile mweleka mguu mmoja ukabaki juu mwingine upo chini halafu nikawa nimejishikilia kwenye kingo. Washkaji walicheka sana na ile komedi
Duuh! Itabidi niwaambie aisee.Ndio mkuu, washauri watumie mguu mmoja,mwingine ukae pembeni
Kwenye kitabu cha subaru wametaadharisha kuwa kukanyagia mikuu yote huaribu kitu fulani kwenye engine,nimekisahau