Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

Hahaha mkuu walikuona hujawah hata kwenda kariakoo yan umeenda dar jana yake [emoji23] [emoji23] [emoji4]
 
Hahahaha hahahaha mkuu umeua dah [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungeingiza hata kwa angle tu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lol.

Mdogo wangu ndio sababu mie dada yako huwa nazikwepa labda itokee siku niwe sina jinsi ya kufika ninapopataka kwenda nje ya hapo wazipande tu wenye kuweza sababu sitaki aibu mie.
Yaan kwa kweli njia ni kuzikwepa tu hakuna namna, sizipendiiiiii nahisi na zenyewe hazinipendi hahahaha.
 
Yaan kwa kweli njia ni kuzikwepa tu hakuna namna, sizipendiiiiii nahisi na zenyewe hazinipendi hahahaha.
Hahaaa. Na ndio dawa mdogo wangu maana kubakia kuwa kituko mbele za watu hapana aiseee.

Itakuwa zinahisi hivyo kwa kweli.
 
Ila nisiwe muongo. Utotoni nilizoea nyumbani tunapika chai na majani ya chai ya kawaida (ya kuchota na kijiko) siku nimeenda ugenini jikapewa teabag nilijikuta nachana naminina kidogo kwenye kikombe nikaulizwa kwanini nimefanya hivyo? Nikasema ili mtu mwingine aje kutumia nilichekwa sanaaa
 
Siku ya kwanza nimeenda pale quality centre bhana. Aisee nilikaa nje kama nusu saa natafuta mlango uko wapi. Alikuja jamaa mmoja akakaribia kioo mlango ukafunguka akaingia ukajifunga daah sikuamini. Niliposogea na mimi pakafunguka nilijiona mbulula la kwanza
 
Mara ya kwanza kuendesha gari nilikuwa natumia miguu miwili kucheza Na automatic transmission wa kulia una accelerate wa kushoto una break[emoji23][emoji23][emoji23] kweli ushamba mzigo
Sio ushamba ni moja kati ya style ya uendeshaji.... Myself hiyo ndio preference yangu na sioni shida labda ni ushamba kwako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara ya kwanza kutumia laptop neno "wizard" lilinichanganya ukizingTia kibongo tushazoea wizard ni mchawi[emoji23]

Enzi za windows xp toshiba satellite A20 ya miaka ya mwanzoni mwa 2000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Escalator/Ngazi inayotembea.
Mpaka sasa mimi na huyo jamaa ni maadui wa kudumu, sijawahi kumzoea na sitaki kumzoea.
siku ya kwanza nilishikiliwa kama vile mbuzi akiwa hataki kwenda anavyovutwa aisee ilikua hatari.
[emoji1]
 
Hahaha jamaa yangu last two weeks nilipempeleka Sauna, jamaa Kagoma kuvua nguo!
Wazee wetu walikuwa na traditional Sauna.... Nakumbuka when I was a boy babu alikuwa na chungu kubwaa ambalo alikuwa alikuwa analijaza maji na mchanganyiko wa herbs / majani mbalimbali then linanachemka masaa kadhaa.... Baadae watoto tunaitwa tunakaa kwenye mkeka kwa duara. Linaletwa blanket au shuka zito kubwa kadhaa. Kile chungu kinaepuliwa na kuwekwa katikati yetu kwa uangalifu halafu tunafunikiwa humo ndani for some time. Hapo tumevua nguo kasoro chupi / kaptula tuu... Ukitoka humo ni kama umeoga.....
 
hahahaahha nimefanya sana hii kitu nikiwa bukoba, mpaka leo mama yangu anaitumia akiwa na dalili za marelia
 
Mara ya kwanza kuendesha gari nilikuwa natumia miguu miwili kucheza Na automatic transmission wa kulia una accelerate wa kushoto una break[emoji23][emoji23][emoji23] kweli ushamba mzigo
Mbona sio ushamba mkuu
I do that mguu mmoja ukichoka
Chezea foleni za Dar wewe
 
ile kitu inataka taiming kwenye kuweka mguu wa. kwanza.Mi kinachoniokoa kwenye vitu nisipovijua ni kupenda kujifunza kwa kupitia kuangalia wengine wanafanyaje.kisha nikashaona ndo namie nafanya
Yah sure.,huwa nauliza au natazama wengine

Ukikifanya mjuaji ndo shida kujifunza vitu vipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…