[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee jamaa huwa nakuonaga kana mkweli hivi kumbe wee lizee eeee
Duh, pamoja2000
Mnhuuu[emoji23]
miaka ya 69_70Mmmmh we nakukadiria tu 2003
mzee mwenzangu umenitangulia mimi 69_70sMiaka ya 20's to 30's.
Kipindi hicho mwanafunzi unajifundisha na mtihani unajitungia mwenyewe.
Acha kabisa kipindi kile.
Mzee mwanzangu mbona tulianza pamoja ila ukachelewa kumaliza nini kilikusibu??mzee mwenzangu umenitangulia mimi 69_70s
Sent from my iDevice using Tapatalk
Usichukulie siriaz kila kitu mpenzii..
Dah mkuu usinikumbushe album hiyo,ndo album yangu ya kwanza kununua2004 mwaka ambao Mangwair alitoa the greatest Rap Album ya Bongo A.K.A Mimi
Habari ya wewe!
Hahahahaa mkuu mie nilikua sina hela lakini hii album nilinunua, home walikoma niliiza chupa za soda na bia ilinipate pesa ya kununua hii albumDah mkuu usinikumbushe album hiyo,ndo album yangu ya kwanza kununua
Sent using Jamii Forums mobile app