Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Ebu nikumbusheni: Masimenti alikuwa mchezaji gani na wa timu gani?
Alikuwa anachezea kwanza Cosmo Politans ya Dar baadaye akahamia Simba enzi hizo
 
Enzi zenyewe kulikuwa na Ahmed Jongo na Mohamed Jongo,Dominic Chilambo
 
Na hawa wachezaji wa enzi hizo unawakumbuka:
Sharrif TPC,Hemedi Seif TPC,Mbwana Bushiri TPC,Sembwana TPC,Kadu TPC,Marshed Seif TPC,Sefu TPC,Chuma MTWARA,Kilambo,Kilomoni,Dilunga,Sembuli,Gobbos,hao wote kutoka DAR
Athumani Kilambo alikuwa Yanga kabla ya 1974, Maulidi Dilunga (Yanga), Abbas Dillunga (Simba), Mohamed Chuma wa Mtwara
 
Na hawa wachezaji wa enzi hizo unawakumbuka:
Sharrif TPC,Hemedi Seif TPC,Mbwana Bushiri TPC,Sembwana TPC,Kadu TPC,Marshed Seif TPC,Sefu TPC,Chuma MTWARA,Kilambo,Kilomoni,Dilunga,Sembuli,Gobbos,hao wote kutoka DAR

Gibson Sembuli alitokea Mseto ya Morogoro na kuhamia Yanga.
Hao wasambaa wa TPC Mbwana Sembwana na Mbwana Abushiri walikuwa wakali sana
 
Abdallah Kibadeni "King of the Ground"
Charles Boniface Mkwasa "Master"
Juma Pondamali "Mensah"
George Kulagwa "Best"
Elias Michael "Springs"
Said Mwamba "Kizota"
Juma Mkambi "General"
Makumbi Juma "Homa ya Jiji"
Zamoyoni Mogella "Golden Boy"

Hivi George Kulagwa yupo hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…