Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa .
Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama ifuatavyo :-
1. UHITAJI (DEMAND), ni kanuni ya kawaida kwenye biashara uhitaji wa kitu ukiwa mkubwa kuliko upatikanaji basi bei itapanda tu, Hivyo unaweza shusha bei ya vitu kwa Kuongeza Upatikanaji kama kuruhusu bidhaa kuingia kutoka nje kwa wingi, kuongeza Uzalishaji na kuzuia utokaji nche wa Hivyo vitu kama Mazao n.k .
2. GHARAMA ZA UZALISHAJI (PRODUCTION COSTS) ,ukitumia ghrama kubwa kuzalisha kitu hivyo na Gharama yake sokoni lazima iwe kubwa ,mfano kama uzalishaji wa hiyo bidhaa una hitaji mafuta ,umeme ,mbolea vikipanda basi na mazao na bidhaa nyingi zitapanda.
3. MATUMIZI YA SERIKALI, TOZO, KODI (FISCAL POLICY ) Kodi na Tozo mbali mbali ni Chanzo kikubwa sana kwa vitu kupanda Bei ingawa lengo lake ni zuri Nchi ipate Maendeleo ,kuna wakati serikali inabidi kuangalia sehemu au bidhaa muhimu na kupunguza kodi na tozo ili kutoa ahueni kwa wananchi .
Hivyo kutokana na Maelezo hayo tunagundua ili Bei ishuke :-
a. Inabidi upatikaji wa bidhaa na uzalishaji uongezeke iwe kujenga viwanda ,kulima au kuruhusu serikali, watu binafsi kuingiza bidhaa kwa Wingi .
b. Serikali ni LAZIMA ipunguze au itoe tozo katika bidhaa ambazo zina athiri bei ya vitu vingine kama :-
¡. Mafuta
¡¡. Mbolea
Na vinginevyo ukipunguza kodi na matozo huku unapunguza bei ya Vitu vingi sana sababu uzalishaji na usafiri itakuwa bei chini .
Ni hayo tu wana JF ila mlio karibu na Rais Samia msisahu kumkumbusha kuwa Inauma sana kwa Tozo na Kodi zetu kuliwa na mtu au kikundi Cha watu kinyume na Utaaratibu ajitahidi kuwa Mkali .