bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Vikosi vya NATO vilimuondoa madarakani kwa nguvu za kijeshi kwa madai kua alikua anawaua wananchi wake kwa kuwashambulia kwa ndege,mmmh!
Hivi wao ni wasafi na wana uchungu sana na bara Afrika na mustakabali wake?Hapana.
Col Ghadafi alipanga kuanzisha sarafu moja kwa Africa Nzima na ndugu zake wa Arabia.African Dinar ilikua ije kua mbadala wa dola ya Marekani.Dinar ingekua imelengeshwa na Gold( thamani yake kutegemea dhahabu).
Hili jambo lingewafanya mataifa makubwa yenye kiu na rasilimali za Afrika na Arabia( mafuta,madini,mazao etc) kuitafuta hii Dinar na mwisho wa siku kuishusha nguvu dola na nduguze na kuinua Dinar kama sarafu ya Dunia.
Mtu yeyote atakae cheza na maslahi yao , lazima aondoshwe kwa gharama yoyotw ile.Halafu meneja wa kiwanda Obama akisema anajutia kumuondoa Ghadafi,aseme tu wazi kua wamiliki wa kiwanda hawakupenda mpango wa Ghadafi.