Tujikumbushe: Sababu za Marekani kumuua Col Ghadafi

Hii ilitokea wakati Dimitri Medvedev ndiye Rais wa Russia.

Kama Putin angelikuwa Rais kipindi icho, angelifanya kama ambavyo anafanya Syria.

Na ndio maana Putin alitoka comment hii baada ya hiyo Resolution kupita

"Medvedev is responsible for foreign policy as president and that "there can be no division there".

Hata Chamov ambaye alikuwa Russian ambassador to Libya alituma Telegram Kremlin na kwenye hiyo Telegram alisema kuwa Medvedev ni Traitor.
 
jaribu kuweka link ya video ,mkuu, kama inawezekana
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm ni mpinzani na ckumpigia kura huyu mh wetu,lkn nilimpenda sn awali lkn baadae nilimtoa maanani kwa uamuzi wk wa kufuta shughuli za siasa zisiende icpokuwa siasa ya ccm chama chake huu ni UDIKTETA
Anakopi na kupest kutoka kwa jambazi kagame.

Silipendi jambazi lile ndo lililomuharibu rais wetu alipotembelea mwanzo kabisa mwa utawala wake[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu amka kumekucha we bado umelala tu ndo maana bado unaota ndoto za uharo tu...amka[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanyamwezi walipelekwa Zanzibar wakiwa watumwa sasa hivi wanasema hawafanani na watu wa bara kwa chochote. Hata sisi hatuutaki pia muungano kaunganeni na waarabu ambao mnafikiri watawasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, ni kwel about 80% ya walibya walimsapoti Ghadaf wakati zengwe linaanza na inaishia anauawa akiwa na sapoti ya 20% tu?? Ni upi mchango wa AU katika hili hadi anauawa ikiwa aliipigania sana AU yetu?? Maraisi wa Africa walikuwa wapi wakati haya yote yanaendelea kule Libya?? Obama aliingia madarakani Africa ikashangilia tukisema msemo wa babu Martin Luther Jr "I have a dream today....." imetimia, je kuna lolote la Africa kujivunia kwa uwepo wa kipindi chote cha Obama?? Au ndo tulishangilia sabb tulijua ile sera ya USA ya "AGOA" ndo inaenda kufikiwa?? Nisaidieni ndugu katika hili
 
Mungu akuone maana hujui ulisemalo
 
Nlidhani utaandika kama intellectual. Umekuja kuandika kama mwanamke anayemshushua mwenzie.very hopeless.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…