Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
TUJIKUMBUSHE: SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI MMOJA WA WAPIGANIA UHURU WA ZANZIBAR
Historia ni mwalimu tosha
Huwezi kuijua leo yako ikiwa huifahamu jana yako
Akudanganyae historia ya nchi yako
Ana lake jambo afichalo.
Historia ni mwalimu tosha
Huwezi kuijua leo yako ikiwa huifahamu jana yako
Akudanganyae historia ya nchi yako
Ana lake jambo afichalo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa U Thant akisalimiana na Waziri
Mkuu wa Zanzibar Mohamed Shamte na Waziri wa Mambo ya Nchi za
Nje Ali Muhsin
Mkuu wa Zanzibar Mohamed Shamte na Waziri wa Mambo ya Nchi za
Nje Ali Muhsin
Mtangazaji wa Azam TV Wasiwasi Mwabulambo akimhoji Mwandishi kuhusu historia ya Mapinduzi
ya Zanzibar
Meneja wa Radio Kheri Hassan Abdulla akimhoji Mwandishi
Ingia hapo chini:
Mohamed Said: MAISHA YA SIASA YA SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI (1919 - 2006) - KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR