Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Dec 12, 2015 #1 TUJIKUMBUSHE: SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI MMOJA WA WAPIGANIA UHURU WA ZANZIBAR Historia ni mwalimu tosha Huwezi kuijua leo yako ikiwa huifahamu jana yako Akudanganyae historia ya nchi yako Ana lake jambo afichalo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa U Thant akisalimiana na Waziri Mkuu wa Zanzibar Mohamed Shamte na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Ali Muhsin Mtangazaji wa Azam TV Wasiwasi Mwabulambo akimhoji Mwandishi kuhusu historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Meneja wa Radio Kheri Hassan Abdulla akimhoji Mwandishi Ingia hapo chini: Mohamed Said: MAISHA YA SIASA YA SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI (1919 - 2006) - KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
TUJIKUMBUSHE: SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI MMOJA WA WAPIGANIA UHURU WA ZANZIBAR Historia ni mwalimu tosha Huwezi kuijua leo yako ikiwa huifahamu jana yako Akudanganyae historia ya nchi yako Ana lake jambo afichalo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa U Thant akisalimiana na Waziri Mkuu wa Zanzibar Mohamed Shamte na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Ali Muhsin Mtangazaji wa Azam TV Wasiwasi Mwabulambo akimhoji Mwandishi kuhusu historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Meneja wa Radio Kheri Hassan Abdulla akimhoji Mwandishi Ingia hapo chini: Mohamed Said: MAISHA YA SIASA YA SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI (1919 - 2006) - KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Chizi Jambazi JF-Expert Member Joined Sep 22, 2017 Posts 1,769 Reaction score 1,379 Aug 20, 2020 #2 Historia imefutwa, ipost hapa
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,058 Aug 20, 2020 #3 Inabidi Bakwata wakuajiri mzee wetu, unafanya kazi kubwa sana ya kuandika historia ya waislamu ila wao wanachukulia poa wanasahau kuwa hata Roma , Anglican na makanisa mengineyo makubwa yanamiliki vitengo maalum vya historia na propaganda.
Inabidi Bakwata wakuajiri mzee wetu, unafanya kazi kubwa sana ya kuandika historia ya waislamu ila wao wanachukulia poa wanasahau kuwa hata Roma , Anglican na makanisa mengineyo makubwa yanamiliki vitengo maalum vya historia na propaganda.