Tujikumbushe: Tanzania phenomena

Tujikumbushe: Tanzania phenomena

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
taifa la matukio makubwa.

1. Mv bukoba
2. Ajali ya treni
3. Ajali ya boat ziwa victoria
4. Kipindu pindu kanda ya ziwa 1994
5. Ajali ya basi baada ya kumkosa
kumgonga mkapa mwanza
6. Wananchi kufukuzwa na kuchomewa
nyumba huko meatu kupisha muwekezaji
7.meli spice/boat islander
8. Boat iliyozama zanzibar ikitokea tanga
9. Loliondo kwa babu
10. Mashoga wakaandamana dar
11. Richmond
12. Dowans
13. Gas mtwara + vurugu
14. Ulimboka
15. Kibanda
16. Liwalo na liwe ulimboka akatekwa
17. Jengo kuangukia msikiti
18. Rais kuwasamehe wezi wa epa
19. Rais hajui kwanini raia wake ni
masikini.
20. Rais anakataa kuitwa omba omba
21. Rais kuhongwa suti
22. Wanyama kuuzwa nje wakiwa hai

24. Rais kuwapokea wasaliti na
kuwakumbatia



endelea kutaja.........
 
Back
Top Bottom