Tujikumbushe tunakotoka na tunakwenda wapi?

Tujikumbushe tunakotoka na tunakwenda wapi?

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
"TUKUMBUSHANE"
1.Hivi Gazeti la Mwanahalisi liko wapi?
2.Dr.Ulimboka amehamia nchi gani?
3.Mgomo wa walimu lini?
4.Mafisadi wa EPA watanyongwa lini?
5.Unakumbuka mbunge analipwa posho kiasi gani kwa siku?
6.Unakumbuka bunge liliamuru Bw.Jairo na Philimon Luhanjo wafukuzwe kazi iliishia wapi?
7.Unakumbuka mazishi ya Balali yalivyokua?
8.Unakumbuka kifo cha mwandishi wa habari Daud mwangos?
9.Sakata la Richmond,Dowans linaendaje?
10.Twiga walioibiwa na wageni wamerudishwa?Tafakari tusiwe wepesi wa kusahau jamani, sisi ndio wajenga nchi.
 
Back
Top Bottom