Tujikumbushe vita vya Yugoslav na mwendelezo

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ni wachache sana kukuta mtu anaeleza vita vilivotokea kwenye taifa moja kwa jina Macedonia.
Vita hivi vilianza 1991-2001.

Mwendelezo wa vita hii ni sababu za ethnic conflict kujikuta taifa likitengana na kuzaliwa nchi kama Slovenia, Croatia, Bosnia and Herzegovina, Montenegro, Serbia, and North Macedonia.

Historia ya vita hii zilianza mwaka
Date31 March 1991 – 12 November 2001
(10 years, 7 months, 1 week and 5 days)

Slovenian War of Independence:

27 June – 7 July 1991
(1 week and 3 days)

Croatian War of Independence:

31 March 1991 – 12 November 1995
(4 years, 7 months, 1 week and 5 days)
Bosnian War:
6 April 1992 – 14 December 1995
(3 years, 8 months, 1 week and 6 days)

Insurgency in Kosovo:
27 May 1995 – 27 February 1998
(2 years and 9 months)

Kosovo War:

28 February 1998 – 11 June 1999
(1 year, 3 months and 2 weeks)
Insurgency in the Preševo Valley:
12 June 1999 – 1 June 2001[5]
(1 year, 11 months, 2 weeks and 6 days)

Insurgency in Macedonia:
22 January – 12 November 2001
(9 months and 3 weeks)Location

Na sehemu kubwa ya vita zikiwa Serbia, Croatia, Bosnia and Herzegovina, Slovenia, Montenegro, Kosovo, and North Macedonia.

TUJADILI
 
Hiyo vita NATO waliingia yugoslavia wakawa wanashambulia maeneo nyeti, walifanikiwa kumuondoa madarakani kiongozi wa nchi hiyo slobodan milosevic.

Wanataka kufanya hivyo tena huko urusi kwa vladimir putin, japo wanagwaya wakijua wanaweza kupata aibu ya karne wakijiingiza kupigana vita huko bila strategic war target
 
Hiyo vita NATO waliingia yugoslavia wakawa wanashambulia maeneo nyeti, walifanikiwa kumuondoa madarakani kiongozi wa nchi hiyo slobodan milosevic. Wanataka kufanya hivyo tena huko urusi kwa vladimir putin, japo wanagwaya wakijua wanaweza kupata aibu ya karne wakijiingiza kupigana vita huko bila strategic war target
Huku wameingia Mtumbwi wa Vibwengo aisee
 
Hiyo vita NATO waliingia yugoslavia wakawa wanashambulia maeneo nyeti, walifanikiwa kumuondoa madarakani kiongozi wa nchi hiyo slobodan milosevic. Wanataka kufanya hivyo tena huko urusi kwa vladimir putin, japo wanagwaya wakijua wanaweza kupata aibu ya karne wakijiingiza kupigana vita huko bila strategic war target
NATO ni KONYO sana!!!wanakera na wana mambo ya kishetani,,mara ndoa za jinsia moj!!!....yaani watasababisha MUNGU akasirike alafu aiadhibu dunia...
 
Hiyo vita NATO waliingia yugoslavia wakawa wanashambulia maeneo nyeti, walifanikiwa kumuondoa madarakani kiongozi wa nchi hiyo slobodan milosevic.

Wanataka kufanya hivyo tena huko urusi kwa vladimir putin, japo wanagwaya wakijua wanaweza kupata aibu ya karne wakijiingiza kupigana vita huko bila strategic war target
Strategic war target wanazo changamoto ipo ktk namna watakavyojilinda
 
Matatizo ya Yugoslavia yalikuwepo miaka mingi, lakini yalichochewa zaidi na dikteta Tito na wakomunisti wake. Huwezi kuzungumzia chanzo cha mgogoro wa Yugoslavia bila kuzungumzia mchango wa mataifa yaliyowahi kuitawala kama Austro-Hungary, Ottoman Empire na Nazi Germany.

Mzozo mzima wa Kosovo na Serbia ulichochewa na waislamu wa Albania ambao wanajichukulia kama Waturuki na wanataka Kosovo iwe nchi yao wenyewe, lakini waserbia hawataki kukubali kwasababu kihistoria Kosovo ni eneo lao pia ambali waliishi kwa vizazi vingi kabla wajerumani hawajahamisha kinguvu. Dikteta Tito aliwakataza waserbia wasirudi Kosovo huku akiwaacha waislamu wa Albania waendelee kuishi pale akiwa na lengo la kuivuta Albania ijiunge na Yugoslavia.

Ndani ya Yugoslavia yenyewe kulikuwa na mvutano mkubwa wa muda mrefu baina ya Serbia na Slovenia wote wakiwa wanagombania eneo la Bosnia and Herzegovina ambalo ndani yake kuna jamii mchanganyiko za Serbians, Slovenians na Montenegrins. Nchi ilikuwa na ukabila mkubwa mno, haina utofauti na Ethiopia ambayo iliachwa na mfalme Haile Selassie.
 
Nimeipenda story yako

Itakua poa km utaiendeleza
 
Hiyo vita NATO waliingia yugoslavia wakawa wanashambulia maeneo nyeti, walifanikiwa kumuondoa madarakani kiongozi wa nchi hiyo slobodan milosevic.

Wanataka kufanya hivyo tena huko urusi kwa vladimir putin, japo wanagwaya wakijua wanaweza kupata aibu ya karne wakijiingiza kupigana vita huko bila strategic war target
Waliweza na kwa Gadaffi ila kwa Putin wamejichanganya
 
Back
Top Bottom