Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Nakumbuka tuliwahi pigana hadi wengine wakalazwa kisa ugomvi mpirani baada ya wanafunzi wa shule nyingine kuanza kuwashika makalio wadada wa shule kwetu.
Wew ni mikasa gani ulikuta nao iwe mapenzi,Ugomvi,kuchezea stiki,Kupigania demu,Kukaa vichakani nk.
Let's share.
Wew ni mikasa gani ulikuta nao iwe mapenzi,Ugomvi,kuchezea stiki,Kupigania demu,Kukaa vichakani nk.
Let's share.