Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Kuna siku tulipigana ngumi na bodaboda wa mtaa tuliokuwepo..walituvamia kwenye birthday party ya classmate wakaanza sumbua wasichana. Asee ndo nikagundua bodaboda wana ushirikiano hatalri. Maana waliitana mabodaboda wa kata karibia nzima. Zilipigwa hadi walimu wakaingilia.
Unajua mikoa ya janda ya kati ilivyo na miti ya miiba..basi rafiki angu mmoja alikimbizwa na bodaboda (Boxer )yuko peku kwenye miiba lakini aliushinda mbio.
Kuna mvulana mmoja alinitandika viboko vya kutosha wakati wa jioni tunatawanyika! Kisa nilimuandika msumbufu! Ile kazi ya monitress HAPANA jamani!!
Mwalimu anipige, wanafunzi wanipige yaani niliona shule ni chungu!!
We jamaa najua upo humu na ni mvaa suti kwa sasa!! Utasoma hapa, nilikusamehe ila sijawahi kusahau!
Kuna montress mmoja alikuwa ananichukua kinoma nipige kelele nisige lazima aniandike tu mpaka kuna siku ambazo hata sijaenda shule chaajabu jina langu lilikuwepo miongoni ya wapiga keleleKuna mvulana mmoja alinitandika viboko vya kutosha wakati wa jioni tunatawanyika! Kisa nilimuandika msumbufu! Ile kazi ya monitress HAPANA jamani!!
Mwalimu anipige, wanafunzi wanipige yaani niliona shule ni chungu!!
We jamaa najua upo humu na ni mvaa suti kwa sasa!! Utasoma hapa, nilikusamehe ila sijawahi kusahau!
Ngebe ndo nini eti jamani...[emoji3][emoji3][emoji3] mamonitress mlikuwa na ngebe sana na kihere here. Ila wengi mlikuwaga ni warembo haswaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna montress mmoja alikuwa ananichukua kinoma nipige kelele nisige lazima aniandike tu mpaka kuna siku ambazo hata sijaenda shule chaajabu jina langu lilikuwepo miongoni ya wapiga kelele
Nakumbuka nilikuwa darasa la 6 na mdogo wangu alikuwa la 4 tulikuwa tunasoma shule moja.. Kuna monitress alikuwa anapenda kumuonea dogo, mara amfagilishe darasa mara amuandike 'Noise maker'Kuna mvulana mmoja alinitandika viboko vya kutosha wakati wa jioni tunatawanyika! Kisa nilimuandika msumbufu! Ile kazi ya monitress HAPANA jamani!!
Mwalimu anipige, wanafunzi wanipige yaani niliona shule ni chungu!!
We jamaa najua upo humu na ni mvaa suti kwa sasa!! Utasoma hapa, nilikusamehe ila sijawahi kusahau!
Nimepata sana kesi za kuwapiga hawaKuna montress mmoja alikuwa ananichukua kinoma nipige kelele nisige lazima aniandike tu mpaka kuna siku ambazo hata sijaenda shule chaajabu jina langu lilikuwepo miongoni ya wapiga kelele
Kuna mvulana mmoja alinitandika viboko vya kutosha wakati wa jioni tunatawanyika! Kisa nilimuandika msumbufu! Ile kazi ya monitress HAPANA jamani!!
Mwalimu anipige, wanafunzi wanipige yaani niliona shule ni chungu!!
We jamaa najua upo humu na ni mvaa suti kwa sasa!! Utasoma hapa, nilikusamehe ila sijawahi kusahau!
ooooooooooooooooooooooohKuna mvulana mmoja alinitandika viboko vya kutosha wakati wa jioni tunatawanyika! Kisa nilimuandika msumbufu! Ile kazi ya monitress HAPANA jamani!!
Mwalimu anipige, wanafunzi wanipige yaani niliona shule ni chungu!!
We jamaa najua upo humu na ni mvaa suti kwa sasa!! Utasoma hapa, nilikusamehe ila sijawahi kusahau!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna montress mmoja alikuwa ananichukua kinoma nipige kelele nisige lazima aniandike tu mpaka kuna siku ambazo hata sijaenda shule chaajabu jina langu lilikuwepo miongoni ya wapiga kelele

Muone kwanzaNakumbuka nilikuwa darasa la 6 na mdogo wangu alikuwa la 4 tulikuwa tunasoma shule moja.. Kuna monitress alikuwa anapenda kumuonea dogo, mara amfagilishe darasa mara amuandike 'Noise maker'
Sasa kuna siku dogo akaniletea mashtaka monitress kampiga nikasema huyu monitress leo atajuta..
Saa ya kutoka nikamsubiri nje ya geti la shule.. Nilimpiga makonzi yule dada.. Finya sana.. Nikawa nampiga na mabusu[emoji23] Alikuwa mweupe mpaka akawa mwekundu mpaka akawa analia kwa kwikwi huku akisema ana pumu nimsamehe.[emoji16]
Kesho yake akaenda kunishtaki kwa mwalimu wao