Tamu Sana umesahau nsansaWale wa chipali, safwe, hatile nk. Nk. Nawasalimia.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na kuna ile inapikwa kwa njugu, inaitwa chididya kama sikosei. Ninaikibali sana.
hatari hiyo kitu aisee haswa mchana halafu cha baridi
Hakuna kama kiburu! View attachment 1367943
Sio Kiburu Ni kibulu ndani ya KidewaHakuna kama kiburu! View attachment 1367943