Tujikumbushe Wacheza Soka Waliostaafu mapema

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Katika mchezo wa soka kuna wachezaji wamecheza na kustaafu kwa umri mkubwa kama akina Maldini, Giggs, Drogba nk na wengineo wanastafu umri wa kawaida tu. Ila kuna wachache miongoni mwao wanastaafu mapema chini ya miaka 30.

Kufuatia kustaafu mapema kwa Andre Schurrle akiwa na miaka 29 tu, kiungo na mshambuliaji huyo wa Ujerumani ambaye aliwahi kukipiga vilabu kama Dortmund, Weder Bremen, Chelsea, Wolfsburg na vingineo,pia ni mshindi wa Kombe la Dunia mwaka 2014.

Leo tukumbushane wachezaji waliostaafu mapema ilihali bado tulikuwa tunahitaji kuona burudani yao...
 
Kocha wa RB Leipzid kastaafu ana miaka 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…