Tujikumbushe Wacheza Soka Waliostaafu mapema

Zidane alistaafu mwaka 2006 katika mwaka ambao alitwaa mchezaji Bora wa mashindano ya Fifa Worldcup 2006 na mshindi namba 2 wa balloon d'or 2006.
 
Allen shearer akiwa namiaka 29 tu
Michael platini alistaafu akiwa na umri wa miaka 33
Kelvin keegan akiwa na 33
Didier deschamps ambaye ndio kocha wa France wa sasa alistaafu akiwa na umri wa miaka 32 tu,
Jurgen klinsman alistaafu akiwa na umri wa miaka 33,
Frank rijkaard aliyewahi kua kocha wa Barcelona alistaafu soka akiwa na umri wa miaka 32 tu.
 

Miaka 33 tayari ni maji ya jioni mkuu
 
Molinga a.k.a pipa la wanzuki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…