duh, mie haikuwa wazazi wanaom-refer
ila kaka na dada zangu walikuwa wananitania kama adhabu nikikataa kufanya kitu. Basi nilikuwa NALIA kuliko hata fimbo, walinifanya nikamchukia nisingeweza hata kusogeleana naye much less kucheza.
Mtoto mwenyewe alikuwa mkubwa kwangu kama miaka 4 hivi, afu alikuwa wa kutafuta mchana na tochi, mkorofiiiiiiiiiiiiiiii.
Yaani sasa hivi ameshakuwa mlevi hajitambui tena, analewa kuanzia saa 12 asubuhi afu kama kawa mdokozi.

haya majibu yako ndo yanaletaga utata juu ya jinsia yako...
AU UNACHANGIA ID+PASSWORD NA MKEO??????
Aisee mimi simkumbuki jina, ila kaka yangu ambaye sasa hivi ni Padre; alitukamata chooni. Akataka kunisemea kwa mama, nikambembeleza akauchuna. Ila aliniuliza kuwa huwa tunasikia nini tunapofanya matusi! LOL
I wonder kama anakumbuka, he must kama mimi ambaye hata shule nilikuwa sijaanza nakumbuka!

Usinikumbushe mchumba wangu MWANANYEGE toto lilioumbika, kitambi kimekubali, nyuma kapigwa pasi, miguu chipoku
Mmmh dada Kaunga mama asingekuacha na hili,lazima angekufinya hako 'kanyioo' hadi utoke damu maana navyojua kina mama wa zamani wa kinyamwezi walivyokuwa strict ungeipata mbona
Usinikumbushe mchumba wangu MWANANYEGE toto lilioumbika, kitambi kimekubali, nyuma kapigwa pasi, miguu chipoku
KIKUNGU
Nnmh hiyo ya kuwa 'marafiki' maana yake mlikuwa mnaDO?
Ila hili la mabinamu ni common sana, atleast unyamwezini l think kuna ruhsa ya kuoana. Ngoja tuwatafute wazee wa mila!
Lkn kaka, mkionana na huyo Binamu, hamfikirii kukumbushia ile michezo ya chini ya miembe?