Tujikumbushe Wanasayansi wa asili Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tujikumbushe Wanasayansi wa Asili Dr Mandondo (Tanga), Dr Mwakipande(Makete), Dr Chapotela( Mwanza) na Prof Bulaya & Sheikh Yahya( Dsm)

Waafrika tuna Sayansi zetu ambazo zimesaidia na kutoa mwongozo kwa maisha ya Wanasiasa wakubwa na Wafanyabiashara maarufu

Huwezi kutenganisha utajiri wa Wakinga na Warombo na muujiza ya Mwakipande

Wanasiasa na Wanamichezo wa Tanga kwa mfano wanatembelea nyota ya Dr Mandondo

Kazi za mtaalamu wa nyota Shehe Yahya zinajulikana Afrika nzima

Hata hapa JF Kazi za Mshana jr zinapongezeka

Sayansi Asili itumike kuleta maendeleo siyo kudumaza wengine
 
Sayansi hii inakandamiza 100 inamnyanyua mmoja,badala ya kunyanyua 100 na kukandamiza 1.
Huwa kuna black magic,white magic,red magic na pink magic!
Wazungu hutumia white magic,wakinga hutumia black magic,ulaya ya mashariki hutumia pink magick.
 
Maelezo ya ziada tafadhari,kuhusu hizo aina za magic
 
Nilishangaa kwanza airport ya uingereza kuzuia begi la mwakinyo kwa kuhisi Kuna vitu vya ushirikina means wanaamini katika ushirikina.

Wazungu wajanja sana kiasi fulani wanaogopa uchawi ila wanatuaminisha ni kitu kibaya mno..tuseme ukweli hyo ni teknolojia ya waafrika wao wanaita uchawi ukitaka kugundua nenda nijeria kuwa wachawi Wana pesa kibao yaani kule noma.

Hapa bongo pale kariakoo wanaowin game wote wachawi hakuna point ya sijui Nini wala game la pale ni zito walioamua kujitoa akili na kuamia upande huo ndo wanakula Maisha na kupiga pesa.
 
Tujikumbushe Wanasayansi wa Asili Dr Mandondo (Tanga), Dr Mwakipande(Makete), Dr Chapotela( Mwanza) na Prof Bulaya & Sheikh Yahya( Dsm)

Waafrika tuna Sayansi zetu ambazo zimesaidia na kutoa mwongozo kwa maisha ya Wanasiasa wakubwa na Wafanyabiashara maarufu

Huwezi kutenganisha utajiri wa Wakinga na Warombo na muujiza ya Mwakipande

Wanasiasa na Wanamichezo wa Tanga kwa mfano wanatembelea nyota ya Dr Mandondo

Kazi za mtaalamu wa nyota Shehe Yahya zinajulikana Afrika nzima

Hata hapa JF Kazi za Mshana jr zinapongezeka

Sayansi Asili itumike kuleta maendeleo siyo kudumaza wengine
Afadhali kidogo leo Jo umipumzisha CHADEMA na viongozi wake.. Nikupongeze kwa hilo
 
Back
Top Bottom