johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maelezo ya ziada tafadhari,kuhusu hizo aina za magicSayansi hii inakandamiza 100 inamnyanyua mmoja,badala ya kunyanyua 100 na kukandamiza 1.
Huwa kuna black magic,white magic,red magic na pink magic!
Wazungu hutumia white magic,wakinga hutumia black magic,ulaya ya mashariki hutumia pink magick.
Afadhali kidogo leo Jo umipumzisha CHADEMA na viongozi wake.. Nikupongeze kwa hiloTujikumbushe Wanasayansi wa Asili Dr Mandondo (Tanga), Dr Mwakipande(Makete), Dr Chapotela( Mwanza) na Prof Bulaya & Sheikh Yahya( Dsm)
Waafrika tuna Sayansi zetu ambazo zimesaidia na kutoa mwongozo kwa maisha ya Wanasiasa wakubwa na Wafanyabiashara maarufu
Huwezi kutenganisha utajiri wa Wakinga na Warombo na muujiza ya Mwakipande
Wanasiasa na Wanamichezo wa Tanga kwa mfano wanatembelea nyota ya Dr Mandondo
Kazi za mtaalamu wa nyota Shehe Yahya zinajulikana Afrika nzima
Hata hapa JF Kazi za Mshana jr zinapongezeka
Sayansi Asili itumike kuleta maendeleo siyo kudumaza wengine
FaizaFoxyAfadhali kidogo leo Jo umipumzisha CHADEMA na viongozi wake.. Nikupongeze kwa hilo