Tujikumbushe watangazaji maarufu Radio one enzi hizo

Amina molel
 
Radio Tumaini sio ya kwanza kuanzishwa ni ya pili radio Tanzania ndio radio yakwa nza kuanzishwa enzi ya nyuma sana kwa sababu kama sikosei 1955 maana siku ya uhuru ilikuwa inatoa matangazo yake tu tulipoungana na zanzibar bado ilitoa matangazo yake mama na mwana nikipindi ninachokipenda sanaa enzi hizo.
 
Soma vizuri mkuu, kasema ni radio ya kwanza kuanzishwa kwa upande wa radio binafsi. Sasa radio Tanzania ni ya binafsi???
 



Deo Mshigeni na mpenzi wake Vick Msina aliyekuwa na ulegi wa maana ila sura Mungu nisaidie
 
Samahan wanajamvi...hiv yule m5angazaji wa redio one aliyekuwa akijulikana kama Amina Saleh ndie alikuja kbadilisha jina na kuwa Amina mollel akahamia TBC baadae akawa mbunge viti maalum?
 
Deogratius Mshigeni muongezee hapo.
 
Kuna ile jingle baada ya taarifa ya habari "ina habarisha ndio maana inakubalika inaburudisha ndio maana inapendwa radio one radio one steriooo 89.5 fm moja mianne na arobaini am radio one sterio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…