Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Msiniulize chanzo wala majina yao, anayewafahamu awasaidie wengine kuwafahamu.
 

Attachments

  • tbc.jpg
    3.8 KB · Views: 181
  • tbc6.jpg
    3 KB · Views: 180
  • tbc7.jpg
    2.3 KB · Views: 176
  • tbc2.jpg
    3.9 KB · Views: 178
  • tbc8.jpg
    1.5 KB · Views: 166
Msiniulize chanzo wala majina yao, anayewafahamu awasaidie wengine kuwafahamu.
Pia na huyu alikuwa maalufu sana, ebu angalia vizuri picha yake kisha nieleze ni nani huyu.
 

Attachments

  • rtd.jpg
    3.9 KB · Views: 170
Pia na huyu alikuwa maalufu sana, ebu angalia vizuri picha yake kisha nieleze ni nani huyu.
Mkuu ingependeza sana hii thread yako ukaiunganinisha na thread ya "Tujikumbushe watangazaji wa zamani" Just a sugestion!!
 
Mmenikumbusha mbali! kipindi cha mama na mwana! Deborah Mwenda (bibi) TBC.
 
Kuna thread nimeweka yenye baadhi ya watangazaji, nimeshauriwa niunganishe na hii, sasa nimefanya hivyo, na picha zenyewe ni hizo
 

Attachments

  • tbc3.jpg
    2.9 KB · Views: 208
Jamani mmemsahau mtangazaji maarufu wa mpira wakati huo- Abdul Masoud
 
Kuna thread nimeweka yenye baadhi ya watangazaji, nimeshauriwa niunganishe na hii, sasa nimefanya hivyo, na picha zenyewe ni hizo
Ebu angalia na hawa, Katka hawa kuna Charles Hilary, Halima Kihemba, Deo Lweyunga
 

Attachments

  • Charles hilari.jpg
    4.4 KB · Views: 191
  • halima.jpg
    2.6 KB · Views: 182
  • julius nyaisanga.jpg
    3.1 KB · Views: 186
  • lweyunga.jpg
    3.3 KB · Views: 182
  • tbc5.jpg
    3.4 KB · Views: 166
Abdallah Mlawa- Kijaluba na Aloysia Isabulla.
Salama Mfamao na Siwatu Luwanda-RIP.
 

Duuu!!

Mkuu, huku Sikonge kulikuwa na familia ya Nswima. Mwanzo tulifikiri ni ndugu ila baadaye ikajulikana si ndugu ila ni jina la KIFIPA.

Enzi hizo Mfipa maarufu ni Maneti wa Vijana (RIP), Mkuu wa wilaya/Mkoa Nswima na huyu mtangazaji. Na nyimbo zao ni "CCM pambalama pokeleli CCM ehhh ......." na ule wa "sisi ni watu wa Rukwa iyelele sisi ni watu wa Rukwa iyelele makao yetu Sumbawanga". Wachaga walikuwa wananifurahisha maana walau Wafipa walikuwa na nyimbo mbili, Wachaga walikuwa na wimbo mmoja tu na REGGAE za akina Peter Tesha, Bob and Rita Malya. Wimbo huo kila kipindi kinachohusu Wachaga ndiyo ulipigwa wa "Ulele ulele ehh kwacha ehhh....." Aibu aibu Wachaga!!!! Cosmas Chidumule aliwaokoa akatunga za Kiswahili akiwa Bima "....siri imefichuka, kosa la mesenger laleta balaa....."

Jina lililonifurahisha pia ni hili la Siwatu Luwanda.

Hivi huyu mama kwenye hii link chini anayeanza kuongea kwenye hiki kipindi ni nani?

http://www.eastafricantube.com/media/12408/RTD-IDHAA_YA_BIASHARA/
 
hawa ndio vigogo,yaani moyo unakuwa mzito nikiwafikiria.mimi ni mkenya lakini redio yangu wakati huo ilikuwa inashika tu rtd.kuanzia jambo hadi usiku mwema.loo.... ama kweli
 
"Hii ni Taarifa ya Habari kutoka Redio Tanzania. Msomaji Jacob Tesha. Kwanza Muhtasari Wake..."

Huyu jamaa hata kama mko na mambo yenu mlikuwa mnalazimika kuacha na kumsikiliza , ole wao watoto wapige kelele wakati Tesha ananguruma!

Mmenikumbusha mbali! kipindi cha mama na mwana! Deborah Mwenda (bibi) TBC.

me too, kumbe utoto sio mbali 25 yrs back naona niko pembeni ya redio baada ya mama na mwana mpira........

Abdallah Mlawa- Kijaluba na Aloysia Isabulla.
Salama Mfamao na Siwatu Luwanda-RIP.

Where is Salama Mfamao??



U see may be we can always love our country kwa kukumbushana enzi hizo,,,,,...sio leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…