Tujikumbushe ya moshi technical(mts)

Nani alikua kipanga wenu pale? Nasikia vipanga walikua wanapelekwa UK niliwasikia wenyewe wanasema sasa sijui ni kweli au ni tea?
 
sitamsahau mwalimu wangu mwl. Mpande.nasikia alipata ajali miezi michache iliyopita
 
ajali ya nini na anaendeleaje kulingana na taarifa za wadau? Vp Mghamba yeye anasemaje!
 
Dah asee... Ile shule kabla hawajaichakachua ilikuwa ni kambi ya mafunzo iliyojitosheleza. Wazee wa Azimio na mchakamchaka na usafi ilikuwa kwa mbinde. MP alikua anapaita ushenzini.
 
Mpande xaiv hayuko kazn toka ile ajal.! Anajhusisha na mambo ya chrisc kwa xana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…