connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Najiuliza security personnel wa ziada wa kufanya raking walikuwa wanatoka wapi? Waandishi wakupiga picha walikuwa wanatoka wapi? Kwenye usalama ukisha fanya raking lazima ku secure hilo eneo ili liendee kuwa salama mpaka ziara itamatike,sasa hiyo man power ilitoka wapi kama ni ziara ya kushitukiza? Na kama alitumia wana usalama waliokuwa zamu Ikulu siku hiyo, Ina maana Ikulu ilibaki na vacuum ya ulinzi( Ikulu palibaki tupu bila ulinzi) Ila Magufuli bhanaComedy show,yalikuwa maigizo,rais akitaka kwenda sehemu mtajua tu,ulinzi na protocol nyingine,ilikuwa kick za kijinga,nchi zilizoendelea hakunaga hayo maigizo,unatakiwa kucheza na mifumo sio watu
Mbinu za mwalimu mkuu wa primary huwezi kuzipeleka ikulu,nchi ni kubwa sana hii
Comedy
Mkuu, una uhakika gani kuwa racking ilikuwa inafanyika? Huenda alikuwa anafika eneo la tukio bila utangulizi wowote kwa sababu kunakua hakuna threat huko aendakoNajiuliza security personnel wa ziada wa kufanya raking walikuwa wanatoka wapi? Waandishi wakupiga picha walikuwa wanatoka wapi? Kwenye usalama ukisha fanya raking lazima ku secure hilo eneo ili liendee kuwa salama mpaka ziara itamatike,sasa hiyo man power ilitoka wapi kama ni ziara ya kushitukiza? Na kama alitumia wana usalama waliokuwa zamu Ikulu siku hiyo, Ina maana Ikulu ilibaki na vacuum ya ulinzi( Ikulu palibaki tupu bila ulinzi) Ila Magufuli bhana
Yaah ni kweli kabisa na alifanikiwa kuuteka umma hata viongozi wengine wakawa wanaiga hivyo, nakumbuka nikiwa shirika flan mjinga mmoja akaiga hizo mambo alichokutana nacho hadi leo aendi tena sehemu hiyoComedy show,yalikuwa maigizo,rais akitaka kwenda sehemu mtajua tu,ulinzi na protocol nyingine,ilikuwa kick za kijinga,nchi zilizoendelea hakunaga hayo maigizo,unatakiwa kucheza na mifumo sio watu
Mbinu za mwalimu mkuu wa primary huwezi kuzipeleka ikulu,nchi ni kubwa sana hii
Ilikuwa vichwa vya treni. Alikuwa anajitafutia umaarufu wa kijinga sana.Hahaha! Alifanya ziara ya kushitukiza bandarini akaokota magari hayana mwenyewe
Mimi nikadhani umeweka link au clips za hizo ziaraMwamba alikua anaibuka tu sehemu na kutuma na wowote ikiwamo Waziri mwenye dhamana. Hakika nimemiss zile moments za taharuk
Hizo mambo zote kwa sie watanzania wengi wala maharage hata hatukujua,tunazan ni rahis tu rais kuzurula popoteNajiuliza security personnel wa ziada wa kufanya raking walikuwa wanatoka wapi? Waandishi wakupiga picha walikuwa wanatoka wapi? Kwenye usalama ukisha fanya raking lazima ku secure hilo eneo ili liendee kuwa salama mpaka ziara itamatike,sasa hiyo man power ilitoka wapi kama ni ziara ya kushitukiza? Na kama alitumia wana usalama waliokuwa zamu Ikulu siku hiyo, Ina maana Ikulu ilibaki na vacuum ya ulinzi( Ikulu palibaki tupu bila ulinzi) Ila Magufuli bhana
Yes anza na katiba bora mtumishi akifisadi anafanywa kama china. Mifumo yote serikalini iwe sheria iwe ya kudumu. Kiongozi yoyote anaekuja aikute iwe endelevu.Comedy show,yalikuwa maigizo,rais akitaka kwenda sehemu mtajua tu,ulinzi na protocol nyingine,ilikuwa kick za kijinga,nchi zilizoendelea hakunaga hayo maigizo,unatakiwa kucheza na mifumo sio watu
Mbinu za mwalimu mkuu wa primary huwezi kuzipeleka ikulu,nchi ni kubwa sana hii