Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

Kwanini walazimishe mtu kukaa na hela zake. Mtu apewe abuni miradi yake zikiisha kwani atakuja kupanga foleni ya kula kwenu? Haiwezekani useme unamsaidia mtu halafu yeye hataki huo msaada lakini wewe unamlazishatu
 
CCM ni zaidi ya laana.
Na bado wanaikumbatia!
Usishangae kuona kundi la watumishi wa kawaida mfano waalimu, wauguzi au hata askari wakiimba "CCM mbele kwa mbele".
Au wakimsikiliza na kumbeza mtu kama Lissu au Heche akiwapigania haki zao.
Kuna wakati najiuliza vijana kama kina Lt Maganga, Capt Kadego au Capt McGhee wa kizazi kile hawazaliwi tena nchi hii?
Maana sasa hivi wapo vijana wa hovyo tuu kama kina Suphian Juma Lucas Mwashambwa Steve Nyerere na Diamond na the like!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mama asiporekebisha hili, uchaguzi wa serikali za mitaa utampa jibu.
Ajiandae kisaikolojia
Shida ninauoiona ni watanzania kuongea sana lakini ukifika wakati wa uchaguzi hauwaoni wakipiga kura. Hii ni changamoto. Tubadilike. Maneno hayawezi kubadili chochote
 
Walishaiba hawana cha kulipa!
Na bado wanafanyiwa figisu wakati wa malipo kama omba omba!
Mimi nasema hivi wacha wateseke/tuteseke sana na asiwepo wa kumsaidia mwenzake! Kwa hiyo kada ya kikokotoo ndiyo machawa na wanaosaidiaga kuiba kura shenzi type DIE SILENTLY shut up!
 
CCM ni zaidi ya laana.
Marehemu mzee wangu (Mungu amlaze mahala pema peponi) aliwahi kuwa kiongozi mkubwa wa CCM, serikali na vyombo vya ulinzi na usalama, alinikataza kabisa kujiunga na CCM kwa kuwa alichokutana nacho huko alisema kuwa ni laana.
CCM ni laana.
 
Hata km mtu anapata hiyo 500,000 kwa mwezi, je ni sahihi mtu kuitumikia SERIKALI miaka 32/34 then upewe 45m? Na inakuwaje mtu mwingine akupangie matumizi ya pesa zako. Kwani kiinua mgongo ni Charity au right. Serikali iwape watumishi pesa zao zote, wasipangiane matumizi watu wazima.
 
Mleta mada ni mpumbavu amewalenga wabunge tu, halafu hao warumishi walikuwa wapi wakati huo mswada unapita bungeni mbona sikuwahi kusikia kuna kizuizi chochote ili mswada huo usipite nao ni mapumbavu kama kupunjwa aacha wapunjwe ni ujinga wao.
Umeandika ujinga tu hapa. Kama ulikuwa huna hoja, ungelifunga tu hilo domo lako. Mimi nimeleta hoja mezani. Kwa hiyo jikite kwenye hoja, badala ya kunishambulia mimi.
 
Waalimu wameshamchukulia fom mama!
 
Watanzania tukome maana tumezidi sana ujinga
 
Umeandika ujinga tu hapa. Kama ulikuwa huna hoja, ungelifunga tu hilo domo lako. Mimi nimeleta hoja mezani. Kwa hiyo jikite kwenye hoja, badala ya kunishambulia mimi.
Kama wewe ni mtumishi basi ni miongoni mwao ulikuwa wapi mswada unaperekwa bungeni?? Ndio ulikuwa muda wa kulalamika na kuishinikiza serikali ibadilishe mswada huo.Zinduka na jitambue.
 
Kama wewe ni mtumishi basi ni miongoni mwao ulikuwa wapi mswada unaperekwa bungeni?? Ndio ulikuwa muda wa kulalamika na kuishinikiza serikali ibadilishe mswada huo.Zinduka na jitambue.
Mimi nimeleta hoja mezani ili watu watoe maoni yao kama ni sahihi kuwa na kikokotoo chenye kubagua makundi ya watumishi.

Na kuhusu watumishi kulalamikia hicho kikokotoo, hilo halihitaji mjadala. Watumishi wengi walilalamika. Isipokuwa serikali kwa kushirikiana na vyama vya wafanyakazi vilivyojaa makada wa chama chao; waliamua kutumia ubabe kuhalalisha huo uonevu wao kwa watumishi wa umma.
 
Kwa wizi na utapeli huu unaofanywa na CCM kwa wavuja jasho kisha wao wanajiwekea mafao manono mno mno Mungu ndie atawalipa udhalimu huu wa kishetani kabisa!
 
wakati huo mama anaupiga mwingi kwa safari zake zisizoisha
laiti hii kazi ninayoifanya sasa ingekuwaga kuna mtu alinishauri,
ningelimtafuta na kumpiga shaba.
ni kwamba tu ni kiherehere changu kusomea hii kazi kwa kuvutiwa na mavazi
Yaani ulivutiwa na mgwanda ya polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…