salumhamza
Member
- Nov 7, 2015
- 6
- 16
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini China ana shahada
ya Udaktari
[emoji117] Kijana wa maika 17 nchini Japan ana shahada
ya makenika
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Marekani ana utajiri
kupitia kipaji chake
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Urusi ni mwana
jeshi mwenye eshima yake
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Uingereza ni
mwanasheria
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Brasil ni mwanasoka
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Tanzania ni Admin wa Ma
group 7 kwenye whatsApp na anaongoza kujua subtitles za
movies
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....CHUKUA HATUA.