Tujitambue vijana

salumhamza

Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
6
Reaction score
16
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini China ana shahada
ya Udaktari
[emoji117] Kijana wa maika 17 nchini Japan ana shahada
ya makenika
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Marekani ana utajiri
kupitia kipaji chake
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Urusi ni mwana
jeshi mwenye eshima yake
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Uingereza ni
mwanasheria
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Brasil ni mwanasoka
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Tanzania ni Admin wa Ma
group 7 kwenye whatsApp na anaongoza kujua subtitles za
movies
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....CHUKUA HATUA.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji4] hatari sana hii nchi ya ahadi
 
Dah.., makapuku woyooo...., mmemsoma?????[emoji4]
 
Kijana wa miaka 17 bongo bado yupo shule fm4 labda kama awe ameacha shule
kiufupi miaka 17 bongo ni mtoto mdogo tu

mtoa mada unapocopy tumia na akili
 
Kijana wa miaka 17 bongo bado yupo shule fm4 labda kama awe ameacha shule
kiufupi miaka 17 bongo ni mtoto mdogo tu

mtoa mada unapocopy tumia na akili
Dah... mwana mbona siku hizi unarushwa darasa tu kama zimo[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…