Tujitambue watanzania,utaifa kwanza memengine yatafata....!!!

Allykitemba

Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
18
Reaction score
0
Nikiwa kama kijana (21) na ni Mtanzania napenda kuchukua fursa hii kuzungumzia katiba.Kwa wale wenye upeo watakubaliana nami kuwa nchi yetu ipo njia panda kuelekea katika machafuko ya kisiasa,machafuko ya kidini,matabaka ya walionacho na wasionacho pia kuna barabara kuelekea mafanikio na umoja wa kitafaifa,iwapo tutajitambua na kuweka mbele maslahì ya taifa.Nchi yetu kwa sasa ipo katika wakati muhimu wa kuandika katiba mpya itakayodumu kwa miaka takribani hamsini ijayo.Hivyo basi ni vyema kuwa na MARIDHIANO YA KITAIFA yatakayojumuisha kila kundi jamii na taasisi mbalimbali ili kuamua tunataka Tanzania ipi kwa maslahi ya jamii ya Kitanzania.Likifanyika hili litaondoa malalamiko ya kidini,kisiasa na kadhalika yanayopelekea ukosefu wa umoja wa kitaifa.WE ARE ONE,TOGETHER WE CAN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…