gwamaka aswile
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 186
- 106
Ndugu Watanzania, simebaki siku chache kufikia Aprili 30 ambayo ni siku maalum ya kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa. Kwa kuelewa umuhimu wa jambo hilo natoa rai kwa kila mmoja wetu bila kujali itikadi za vyama vyetu kujitokeza kwa wingi katika zoezi hilo.