First Lady, kundi la damu yako ni special na adimu, usiogope hautasumbuliwa, watakuomba kiungwana na ni voluntary,hautalazimishwa, ikitokea inahitajika ujue anayehitaji hawezi ishi bila kumsaidia. unaweza kujitolea kila miezi minne (kila miezi mitatu kwa wanaume) bila madhara yoyote kiafya, hivyo uzito wako ukifikia 50kg anza kujitolea damu, kwani kila tone la damu linaenda kuokoa maisha ya mtu.damu yangu ni group O negative,na nasikia sisi watu wa group hili ni wachache hvyo wakikupata wanakufuatilia sana.wakihitaji damu ya group yangu watanisumbua hata kama kiafya si nzuri kutoa mara kwa mara.natamani sana kuchangia ila naogopa
Mimi sijawahi kutoa damu nadhani bado ninahofu ingawa natamani kufanya hivyo.kiafya ni mzima kabisa kwa vipimo halali nilivyopima dec mwaka jana,ila nina uzito wa kilo 47 na tatizo la low bloodpressure.nilitaka kutoa mwaka jana wakanambia nisubiri zifike kilo 50.ila kilichoniogopesha ni kwamba,damu yangu ni group O negative,na nasikia sisi watu wa group hili ni wachache hvyo wakikupata wanakufuatilia sana.wakihitaji damu ya group yangu watanisumbua hata kama kiafya si nzuri kutoa mara kwa mara.natamani sana kuchangia ila naogopa
Ni kweli kuwa kuna rushwa hospitalini, lakini tujitolee damu na tupambane na rushwa, mara nyingi sisi wenyewe tunakuwa soft sana kutoa chochote kwa wahudumu wa afya.nadhani hakuna elimu ya kutosha kuhusu hili...na tatizo lingine ni kuwa unaweza kujitolea bure lakini damu hiyo haigawiwi bure inauzwa na wajanja.........hakuna uaminifu watu wanajali matumbo yao tu