Nilipata fursa ya kumhoji baada ya kukaa jirani yangu. Katokea jangwani. Ana kofia, hicho kipepeo, CD 2 za ccm n.k. Hana sababu ya msingi ya kumpigia au kutompigia jk. Kwamba jk amezoeleka na ni ngumu kumtoa madarakani. Sio yeye tu. Vijana tuliokuwa nao kwenye gari hawaamini kama jk anaweza kung'oka. Sijui wasaidiweje wakath muda ndio umeisha