Tujivunie utamaduni wetu

Tujivunie utamaduni wetu

Ukabila, mwalimu Nyerere alisema, ukabila

Duh huu ni utumwa mbovu sana, yaani na mtachelewa sana tu.
Mtu kuamkia kwa lugha yake ya asili sio ukabila.
Ukabila ni pale unawabagua watu kwa misingi ya kikabila.
 
Back
Top Bottom