Tujuane kabla ya x-mas na mwaka mpya

Tujuane kabla ya x-mas na mwaka mpya

Mimi nilifuatilia yeye zaidi ya nusu mwaka mpaka namwambia nakupenda hapo ni kwenye simu alishia kunishukuru basi ndio hivyo tena kidume nimetumia vocha na kukopa nijitete kadri niwezavyo huenda shule ilikuwa imembana ila siku tulio onana nashukiru sana moyo wangu haukustuka nili tulisalimiana juju ila niwakawa kama sina muda wakupoteza sana ila naamini kwenye haya maisha sio lazima wote tuingie kwenye uhusiano serious
 
Alisema ahsante kwa kunipenda pasipo kupepesa macho gils wana mioyo migumu pole next year utapata ur choice
 
Back
Top Bottom