leonardbuba
Member
- Nov 30, 2017
- 47
- 26
Nyuma ya simuTulio double tunacomment wapi eti
Itakuwa ww ulianza kuwa mzazi wake [emoji23]nipo single, my future wife alinifanya kuwa ATM nkaona isiwe kesi..nikafyekeleaaaa mbaliii
Alisema ahsante kwa kunipenda pasipo kupepesa macho gils wana mioyo migumu pole next year utapata ur choiceMimi nilifuatilia yeye zaidi ya nusu mwaka mpaka namwambia nakupenda hapo ni kwenye simu alishia kunishukuru basi ndio hivyo tena kidume nimetumia vocha na kukopa nijitete kadri niwezavyo huenda shule ilikuwa imembana ila siku tulio onana nashukiru sana moyo wangu haukustuka nili tulisalimiana juju ila niwakawa kama sina muda wakupoteza sana ila naamini kwenye haya maisha sio lazima wote tuingie kwenye uhusiano serious
Kule ambapo itakuwa rahisi kwa mwenzi wako kuonaWale tuliotimiza ahadi zetu ndani ya 2018 tuta-comment wapi?
Life[emoji119]
Nyuma ya simu