Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...unafanya nini hapo ulipo!?Wakuu tufanye kujuana hata kwa hisia hebu tupia jina la mtaa uliopo na kitu/ mtu maarufu kwenye hizo pande zako unaweza ukakutana na jirani yako humu
Mimi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Niko magogoni hapa karibu na ikulu
Mgahawa wetu umemwachia naniJacana-Dom
Leo off FazaMgahawa wetu umemwachia nani
Nipo NYUMA YA TILES NYEUPE za MAGOGONI..Wakuu tufanye kujuana hata kwa hisia hebu tupia jina la mtaa uliopo na kitu/ mtu maarufu kwenye hizo pande zako unaweza ukakutana na jirani yako humu
Mimi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Niko magogoni hapa karibu na ikulu
Nipo kwa Aziz Ally mitaa ya saba saba nakula maisha
Kumbe ni weye nnakudeeku tuNipo NYUMA YA TILES NYEUPE za MAGOGONI..
Nimeku PM jirani...
TUTAFUTANE BASII
#ASANTE.
#YNWA.View attachment 1218870
Nipo NYUMA YA TILES NYEUPE za MAGOGONI..
Nimeku PM jirani...
TUTAFUTANE BASII
#ASANTE.
#YNWA.View attachment 1218870
La jirani yangu d tarimo...Hili ni Wowowo Kuu