Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Nimeshapiga la pili hapa...Hello JF
Kama utani yaani mimi nakunywa crate zima la bia seriously? Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua, mimi Wadiz namaliza crate zima na silewi hata,[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Naomba wale tunaomuda kukata bia crate zima tukutane kwa shuhuda zetu na aina ya bia unayoipenda.
Wadiz
Hakuna ufahari wowote kwenye kutokuwa mleviHakuna ufahari wowote kwenye ulevi
Sijawah pata hamu ya bia ila huwa nakunywa tu nikiamua au nikiwa na marafik na sijawah kunywa siku mbili mfululizo,nikinywa siku moja kesho sitak hata kusikia harufu yakeNina hamu ya beer
Pole ndugu, wewe kunywa soda tu mkuuSijawah pata hamu ya bia ila huwa nakunywa tu nikiamua au nikiwa na marafik na sijawah kunywa siku mbili mfululizo,nikinywa siku moja kesho sitak hata kusikia harufu yake
Bora ninywe maziwa,niliamua kunywa pombe kwasababu huwa sipend sodaPole ndugu, wewe kunywa soda tu mkuu
Sogea pande za Gate way mtoni kijichi ulewe.Nina hamu ya beer
Njoo Demi Wangu, nakutumia glocation PM uje tuendelee kukata lite taratibu tukisubiri game ya mnyamaNina hamu ya beer
Wewe kama mimi sema tofauti yangu na wewe mimi kuna muda napata hamu ya bia aila nikinywa bia tatu tu naanza kusikia ni chungu sana. Ndio maana napendelea dessert beer kwasababu zina sweet taste au wine.Sijawah pata hamu ya bia ila huwa nakunywa tu nikiamua au nikiwa na marafik na sijawah kunywa siku mbili mfululizo,nikinywa siku moja kesho sitak hata kusikia harufu yake
Bia aina gani?Unakunywa zile mwisho zimechorwa neno "lite" halafu unatusumbua?Niko hapa napata Castle Milk Stout za moto.Njoo nikupe shule hadi uimbe kikwenu.Hello JF
Kama utani yaani mimi nakunywa crate zima la bia seriously? Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua, mimi Wadiz namaliza crate zima na silewi hata,🤣🤣🤣.
Naomba wale tunaomuda kukata bia crate zima tukutane kwa shuhuda zetu na aina ya bia unayoipenda.
Wadiz