mkush
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 214
- 163
Kwa kuzingatia kichwa cha thread hapo juu,nawakaribisha kwa heshima na taadhima wadau wote na marafiki wa mazengo secondary humu ukumbini japo tukumbukie,tufahamishane zaidi kuhusu historia ya shule yetu hii na zaidi kufahamiana.kama uliwahi kupita mazengo tafadhali usipite kimya kimya,tia neno lolote na kumbukizi ya miaka yako kadhaa pale.maneno stahiki kama gima,beach,sudan,pora a.k.a nyuka,nyali,ng'ambo,kubundi,mabeda,vikuyu,mwenge,azimio,mwongozo,muungano na ujamaa (kwa uchache) ni vyema yakazingatiwa ili kuongeza ladha ya kumbukizi yako.
karibuni.
karibuni.