Tujuane

Salama tu mkuu, I'd yako ya zamani ni IPI?, mbona kama mwenyeji kabisa wewe, kwanini umetumia jina fake? Nini kimekuvutia mpaka umeona ujoin kabisa?, karibu sanaa
 
Salama tu mkuu, I'd yako ya zamani ni IPI?, mbona kama mwenyeji kabisa wewe, kwanini umetumia jina fake? Nini kimekuvutia mpaka umeona ujoin kabisa?, karibu sanaa
Mimi ni mgeni kabisa humu ndugu. Shukrani sana.
 
Tutakukaribisha tu. Karibu sana Mkuu.

Kujuana? Hilo ni jambo jingine.
 
Unatakiwa uambatanishe picha na jina lako kamili hapa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…