Tujuane

Sijui nikikuelekeza utapaelewa kweli make ni mbali sana.
Nipo mtaa wa Jamii forum ukikata kushoto kuna bango kubwa la MMU sa pale uliza familia ya kula kimasihara!
 
Wana jf wote tunaishi Dar,sema tutaje mitaa tu,


Buguruni kwa mnyamani, karibuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Survey hapa karibu na Mlimani, ukaribie nawee dyadyaa.
 
Kwani ni kukavu sana kule au hapana vibe???
Kule mtaa mzima mnafahamiana. Ukienda mgeni kila mji wanajua nyumba ya mzee flani ameingia mgeni.

Afu huko Manyovu alikopataja wengi ni warundi mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…