OsamaBinLaden JF-Expert Member Joined May 2, 2009 Posts 706 Reaction score 3 May 27, 2009 #1 Baada ya kutoke malumbano tofauti yanayohusu kuenea kwa ukimwi nimeona no bora nilete hili swali kwa wakuu waweze kutoa ufahamu wao je ni nini chanzo cha ukimwi na ulitokea wapi?? kata shina ili mti usiote lakini ukatapo tawi utaendelea kuoota na kustawi. wadau tunaomba ukweli wa hilo.
Baada ya kutoke malumbano tofauti yanayohusu kuenea kwa ukimwi nimeona no bora nilete hili swali kwa wakuu waweze kutoa ufahamu wao je ni nini chanzo cha ukimwi na ulitokea wapi?? kata shina ili mti usiote lakini ukatapo tawi utaendelea kuoota na kustawi. wadau tunaomba ukweli wa hilo.
S Subira Senior Member Joined Mar 7, 2009 Posts 190 Reaction score 52 May 28, 2009 #2 kujua chanzo cha ukimwi na unatokea wapi haitakuwa solution kwa sasa, mazee hapa ni kukazana na kutafuta tiba tu, my dear mojawapo ni kuacha zinaa zembe, kwa wake na wanaume.
kujua chanzo cha ukimwi na unatokea wapi haitakuwa solution kwa sasa, mazee hapa ni kukazana na kutafuta tiba tu, my dear mojawapo ni kuacha zinaa zembe, kwa wake na wanaume.