Tujukumbushe mambo yaliyopigwa marufuku utawala wa awamu ya 5

Tujukumbushe mambo yaliyopigwa marufuku utawala wa awamu ya 5

Hakuna kuhoji PhD ya Mheshimiwa Jiwe aliipataje.
 
Daaa nawakumbuka Makamanda walitoka Bungeni wameziba midomo na makaratasi kama barakoa
 
Kuna hii aibu ya karne siwezi kuisahau.
1640604801665.png
 
Hakuna kufanya maombi ya kumuombe lissu apone..hakuna kudai katiba mpya wala mikutano ya vyama vya siasa..hakuna kukosoa serikali..hakuna kuimba nyimbo za kuikosoa serikali..hakuna kucheka picha ya jpm..kumbuka kilichomtokea idris sultan.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom