Tujukumbushe mambo yaliyopigwa marufuku utawala wa awamu ya 5

Nilifurahishwa sana na mawaziri au watendaji wa serikali kupigwa ban ya kusafiri nje kiholela bila ruksa ya mwenye nchi
 
Hakuna kuhoji PhD ya Mheshimiwa Jiwe aliipataje.
 
Kuendesha biashara ki-kanjanja ndio maana nyingi zilikufa maana zililazimika kupita katika mifumo rasmi stahiki ambayo hatuku'uzoea. kuanzia mambo kodi, ushuru, manunuzi nk kote ni michongo tuu huko. Haya
 
Daaa nawakumbuka Makamanda walitoka Bungeni wameziba midomo na makaratasi kama barakoa
 
Hakuna kufanya maombi ya kumuombe lissu apone..hakuna kudai katiba mpya wala mikutano ya vyama vya siasa..hakuna kukosoa serikali..hakuna kuimba nyimbo za kuikosoa serikali..hakuna kucheka picha ya jpm..kumbuka kilichomtokea idris sultan.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…